Tuesday, March 12, 2013

WATU WENGI WAMEKUWA HAWAJIULIZI NI NI MWISHO WA MAISHA YAO KILA SIKU, NA NDIO MAANA WAMEZOELEA DHAMBI NA WANADM WAMEFIKIA MAHALI WANAONA KUTENDA DHAMBI KWAO NI KITU CHA KAWAIDA SANA KWA KUJIDANGANYA NA ANDIKO LISEMALO no one is perfect, INAWEZA IKAWA KWELI KWA MUJIBU WA MAWAZO YAO, LAKINI SWALI NI MOJA KAMA KILA MMOJA ATASEMA NO ONE IS PERFECT, MBIMGUNI ATANINGIA NANI AU MUNGU AMEMUWEKEA NANI MBINGU??????????? HILI NI SWALI LA MSNGI SANA MNO KUJIULIZA NA NDIO MAANA KAMA HUTAJIULIZA HILI NI RAHISI KUJIKUTA UKITENDA DHAMBI BILA NDANI YA MOYO KUUMIA KWAMBA DHAMBI INAMPELEKA KUBAYA.

KUNA MANENO AMBAYO YAMEZOELEKA KWA VICHWA VYA WATU WENGI LEO KWAMBA KAMA BINTI AU KIJANA ASIPOFANYA MAPENZI KWA MUDA WA MIEZI ITA ANAATHIRIKA KISAIKOLOJIA LAKINI HUYO HUYO, HAJIILIZI KUWA MUNGU AMESEMA USIZINI,!!!!!!!!!!!!!!
KWA SWALA HILI LEO WENGI WANACHEZA NA MUNGU NA TENA WANAMDHIHAKI MUNGU

No comments:

Post a Comment